Deuteronomy 28:1

Baraka Za Utiifu

(Walawi 26:3-13; Kumbukumbu 7:12-24)

1 aKama ukimtii Bwana Mwenyezi Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, Bwana Mwenyezi Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Copyright information for SwhKC